Follow us on
  • vimeo logo
Version internationale

Uchaguzi wa Washauri

24 Jul 2025

Mnamo tarehe 23 Julai, 2025 ilikuwa ni siku ya kipekee huko Valence…

Juu ya Boulevards, mzunguko uliobanana, ili kukaribisha chini ya mvua nyepesi mashindano ya baiskeli Ufaransa; katika jumuiya, ili kusheherekea kwa mastahili yote msimamizi wa Ulaya kupitia Mtakatifu Brigitte na somo wa Sista wetu Brigitte Marie ; lakini pia hasa katika chumba cha Mkutano, baada ya uchaguzi wa Washauri wakuu watatu kufanyika wakati wa mchana watakaofanya timu na Sr Ana Ida Caso de Godoy…

Hao ni Sr Claire VILLIE msaidizi wa Mama mkuu (Ufaransa), Sr Maria Cristina de Oliveira Freitas (Brazili) na Sr Maria Angeline Tiberti (Italia).

Hatua hii ya uchaguzi ilicheherekewa na muziki wenye kiitikizano ambacho sasa kinachojulikana: “Nitawapeni siku zijazo na tumaini”, na kwa mabadilishano mengi ya maua, jumbe…kutia moyo na kupongeza.

Bikira Maria Mama yetu wa Sakramenti Takatifu asindikize timu hii mpya kuanzia sasa na aiweke makini katika ‘kufanya lolote atakalowaambia’! (Yoh. 2: 5)

Tulimwomba wote kwa pamoja akiwepo Jean Michel B. ambaye alijitoa kwa nguvu zake zote kurejesha upya sanamu ya Mama Yetu wa Sakramenti Takatifu katika mng’ao wake wa kwanza baada ya masaa mengi ya subira ya urejesho mpya